Wauzaji Livestock

Ufugaji wa Tanzania ufugaji wa kuku wa mayai, kisasa na wa kienyeji, nguruwe, sungura, bata, mbuzi, ng’ombe wa maziwa, nyuki magonjwa na tiba zake.

Ufugaji Bora wa Nguruwe Dume wa Mbegu

Ufugaji Bora wa Nguruwe Dume wa Mbegu

Ufugaji wa nguruwe dume wa mbegu mara nyingi hutegemea na aina ya makundi ya nguruwe na aina ya mfumo wa ufugaji wa nguruwe ambao umepanga kuutumia katika ufugaji wako. Makundi ya nguruwe ni kama vile madume ya mbegu, majike wazazi, watoto, na wale wanaonenepeshwa kwa ajili ya nyama au mafuta. Unaweza kufanya ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Samaki wa Kambale Tanzania

Ufugaji wa Samaki wa Kambale Tanzania

Ufugaji wa kambale kwa Tanzania ni mzuri sana pia samaki wa kambale hupendwa na watu wengi kwa kuwa nyama yake ina ladha nzuri na ni laini sana. Kambale huzaliana vizuri zaidi wanapokuwa mtoni au sehemu ambayo wanapata tope. Pia mfugaji anapokusudia kufuga aina hii ya samaki kibiashara, ni lazima kusakafia ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania na Mwongozo wake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania na Mwongozo wake

Ufugaji wa Kuku wa kienyeji ni mzuri kwa sababu? Wanavumilia sana magonjwa Ni rahisi kuwahudumia Chakula chao ni cha bei ya chini Wavumilivu wa hali tofauti za hewa Hawahitaji uangalizi wa karibu Soko lake ni kubwa sana na bei nzuri (Mayai trei moja SHs 12,000 mpaka 15,000 kuku wakubwa wanaanzia SHs ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Nyuki Tanzania

Ufugaji wa Nyuki Tanzania

Ufugaji wa Nyuki wakubwa na wadogo ni ufugaji maarufu sana Tanzania kwasababu nyuki ni wadudu pekee ambao hutengeneza na kula asali. Nyuki huishi na kufanya kazi kijamaa, Utendaji wao wa kazi hutegemeana na umri na mahitaji ya kundi husika. Aina za Nyuki Ndani Ya Mzinga Malkia wa Nyuki Nyuki Madume ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Nguruwe Kibiashara Tanzania

Ufugaji wa Nguruwe Kibiashara Tanzania

Ufugaji wa nguruwe Tanzania Ufugaji wa nguruwe ni wa watu wa kada zote, wafugaji wadogo wadogo na hata wakubwa pia ufugaji wa nguruwe huweza kumpatia mfugaji kipato pamoja na chakula kwa familia, na hauhitaji gharama kubwa. Vitu vya kuzingatia katika ufugaji WA nguruwe 1. Banda la ufugaji wa nguruwe ...

S0MA ZAIDI
Sababu na Dawa Ya Kuzuia Kuku Kula Mayai Yake

Sababu na Dawa Ya Kuzuia Kuku Kula Mayai Yake

Sababu za kuku kula mayai yake Sababu za kuku kula mayai yao ni nyingi na ndio maana nimekuandikia ili uweze kuzitambua sababu hizo pamoja na jinsi ya kuzuia kuku kula mayai yao wenyewe Tabia yao tu Hii ni sababu ya kuku kula mayai Hapa utakuta ndo uzao wao wanatabia ya kula mayai hivyo kuku hufanya ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Funza Tanzania

Ufugaji wa Funza Tanzania

Ufugaji wa Funza ni mzuri sana kwa Tanzania pia funza ni aina ya wadudu ambao wanapatikana kwenye mbolea ya samadi inayotokana na mifugo kama vile ng’ombe, mbuzi, kondoo na nguruwe. Sehemu Ambapo Funza Wanazalishwa Funza wanaweza kuzalishwa kutokana na kinyesi cha wanyama kama vile ng’ombe, mbuzi, kondoo, na ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Bata Mzinga Tanzania

Ufugaji wa Bata Mzinga Tanzania

Ufugaji wa bata mzinga Tanzania ni lazima kuhakikisha una chakula cha kutosha kwa sababu ulishaji wake kadri wanavyokua huwa na gharama kubwa zaidi. Ni muhimu pia kujifunza kwa undani na kufahamu namna ya kutunza vifaranga wa bata mzinga kwa kuwa hufa kwa urahisi sana. Pia unapaswa kujikita kutafuta soko kwa ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Sungura Tanzania

Ufugaji wa Sungura Tanzania

Ufugaji wa sungura kwa Tanzania ni ufugaji unaokuja kwa kasi kwasababu ufugaji bora wa sungura husaidia sana kuongeza kipato kwa wafugaji. Ufugaji huu bado haujakuwa maarufu kwa wafugaji wengi na hupedelewa kufugwa kwa mapenzi au mapambo tu ya mfugaji na siyo kama shughuli ya kuingiza kipato. Lakini iwapo ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kufuga Kuku wa Kienyeji na Faida zake Tanzania

Jinsi Ya Kufuga Kuku wa Kienyeji na Faida zake Tanzania

Ufugaji ni mzuri na pia faida za ufugaji wa kuku ni nyingi sana lakini katika ufugaji wa kuku inakubidi ufuate njia nzuri za ufugaji ili uweze kupata faida katika ufugaji wako zifuatazo ni njia za ufugaji wa kuku Tanzania A. Ufugaji za mfumo huria Katika mfumo huu wa ufugaji wa kuku, kuku huachiwa wakitembea ...

S0MA ZAIDI
Tiba za Ugonjwa wa Ndui kwa Kuku

Tiba za Ugonjwa wa Ndui kwa Kuku

Ugonjwa wa ndui ni ugonjwa wa kuku ambao unakwamisha ufugaji wa kuku kwa kutumia dawa za asili pia tambua ugonjwa wa ndui ni ugonjwa unaoenezwa kwa virusi. Dalili za ugonjwa wa ndui Ugonjwa wa ndui utaona kuku wako wamepata mapele kwenye kichwa yenye rangi ya kahawia, mapele hayo yanaweza kuziba mpaka macho na ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Samaki Tanzania

Ufugaji wa Samaki Tanzania

Ufugaji wa samaki kwa Tanzania ni mzuri sana na pia huleta kipato kwa wafugaji wa samaki na Tanzania Kuna aina nyingi za samaki wa maji baridi wafugwao. Samaki wapo wa maji baridi na wa maji chumvi. Mahitaji Ya Ufugaji wa Samaki Rasilimali muhimu za kuwa nazo ili kufanikisha shughuli hii ni eneo la ardhi, ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Vifaranga Vya Kuku Tanzania

Ufugaji wa Vifaranga Vya Kuku Tanzania

Ufugaji wa vifaranga vya kuku wa kienyeji kwa Tanzania kuna mambo ya msingi ya kuzingatia na kwa kufanya hivyo kutakusadia sana kuweza kupata kuku kwa wingi. Uandaaji wa Banda La Vifaranga Banda la vifaranga liwe safi, lisafishwe lisiwe na vumbi. Pulizia dawa ya kuondoa viroboto, utitiri na chawa kwa ...

S0MA ZAIDI
Dalili za Magonjwa Yanayoshambulia Nguruwe na Tiba Zake

Dalili za Magonjwa Yanayoshambulia Nguruwe na Tiba Zake

Magonjwa yanayoshambulia nguruwe yana tiba pia ni mengi kama ilivyo kwa wanyama wengine yanavyotokea lakini kuna magonjwa katika ufugaji wa nguruwe lazima uyajue pamoja na tiba zake kwakua ndio yanayo jitokeza mara kwa mara 1. Ugonjwa wa miguu na midomo kwa nguruwe Huu ni moja ya magonjwa ya nguruwe Ugonjwa huu ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania na Ujenzi wa Banda

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania na Ujenzi wa Banda

Ufugaji wa Kuku Utegemea sana Ujenzi wa mabanda imara ya kuku kwasababu ni miongoni mwa mambo ya msingi kabisa katika ufugaji wa kuku iwe ufugaji wa kuku wa asili au hata ufugaji wa kuku wa kienyeji. Hata hivyo si kila mtindo wa ujenzi unafaa, kwahiyo ujenzi huo ni lazima uzingatie mahitaji halisi ili ufugaji huo ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Mbuzi na Kondoo Tanzania

Ufugaji wa Mbuzi na Kondoo Tanzania

Mbuzi na kondoo ni wanyama ambao ufugaji wao wa Tanzania ni wa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na mifugo mingine. Mbuzi na Kondoo wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo. Kuzaa kwao kwa muda mfupi kuna mwezesha mfugaji ...

S0MA ZAIDI
Magonjwa Ya Nguruwe Na Dalili Zake

Magonjwa Ya Nguruwe Na Dalili Zake

Magonjwa ya nguruwe ni changamoto katika ufugaji wa nguruwe na yamekuwa yakirudisha sana nyuma ufugaji wa nguruwe leo nimekuandikia magonjwa ya nguruwe pamoja na tiba zake. Dalili za magonjwa ya nguruwe Nguruwe haonyeshi dalili za kupenda chakula Nguruwe Anaweza kuwa anahema kwa kasi Nguruwe Anakua ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Bata Tanzania

Ufugaji wa Bata Tanzania

Ufugaji wa Bata kwa Tanzania ni maarufu sana na wafugaji wengi wadogo wa bata hapa nchini hufuga bata machotara ambao pia wapo wa aina mbalimbali. Matumizi makubwa ya bata hawa ni kwa ajili ya kupata nyama, japokuwa huweza kutumika kwa ajili ya kupata mayai na pia kwa ajili ya mapambo nyumbani. Aina maarufu ya ...

S0MA ZAIDI
Faida na Umuhimu wa Ufugaji wa Kuku Kibiashara Tanzania

Faida na Umuhimu wa Ufugaji wa Kuku Kibiashara Tanzania

Faida za ufugaji wa kuku ni nyingi lakini leo nitaelezea faida na hasara za ufugaji wa kuku wa kisasa, kienyeji ambazo kwa wengine huenda zikawa ni ngeni kwao ; Mayai huweza kutumika kwa tiba. (Pata maelezo jinsi yai la kuku wa kienyeji linavyoweza kutumika kwa tiba kutoka kwa wataalam wa tiba mbadala) Kiini ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Nguruwe Jike Tanzania

Ufugaji wa Nguruwe Jike Tanzania

Ufugaji wa nguruwe bora wa majike ni muhimu kwani utamuwezesha mfugaji kupata Nguruwe wengi na bora. Katika ufugaji wa nguruwe Majike wazazi watunzwe vizuri ili kuongeza idadi Ya watoto watakaozaliwa kwa mwaka na kuongeza faida kwa mfugaji. Utunzaji bora wa nguruwe ni kiini cha idadi ya watoto watakaozaliwa, ...

S0MA ZAIDI
Biashara Ya Ufugaji wa Nguruwe na Mambo Ya Kuzingatia

Biashara Ya Ufugaji wa Nguruwe na Mambo Ya Kuzingatia

Gharama za Ufugaji wa nguruwe faida zake pamoja na changamoto na mbinu zilizopo katika ufugaji bora wa nguruwe kisasa na kibiashara Tanzania 1. Chagua koo ZA nguruwe zinazozalisha vyema Uchaguzi wa koo huchangia zaidi ya asilimia 80 katika mafanikio ya ufugaji wa nguruwe, chagua koo amabayo ina  zalisha ...

S0MA ZAIDI
Ufugaji wa Ng’ombe Tanzania

Ufugaji wa Ng’ombe Tanzania

Ufugaji wa ng'ombe ni mkubwa sana kwa hapa Tanzania pia ngombe ni mifugo ambayo inategemewa sana na wananchi walio wengi hapa Tanzania. Aina za Ngombe wa Tanzania Ng’ombe wa Kisasa Ng’ombe wa Kienyeji Ng’ombe wa Chotara Faida za ufugaji wa ng’ombe Ng’ombe hutupatia chakula kama vile maziwa na ...

S0MA ZAIDI