List Ya Wauzaji Tanzania

Tumekuwekea List Ya Wauzaji Ambao ni Waaminifu na Wastaharabu na Wanaofanya Biashara za Kuuza Bidhaa Kwa Bei Nafuu Ndani Ya Nnchi Ya Tanzania

Wauzaji Email List

Tuandikie Email

Ungana na Wengine 3,500+ Kwenye List Ya Email.

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

Lenald Minja

Mwanzilishi wa Wauzaji

Hallow Boss, Karibu sana kwenye website ya Wauzaji wa Tanzania, Mimi ni Lenald Minja, A tech Entrepreneur.

Bado nasoma information technology mkoani Dar Es Salaam lakini nilianza safari ya ujasiriamali wa mtandaoni mwaka 2018.

Pia kabla ya kuanzisha Wauzaji nimeshawahi kufeli kwenye project zangu tano za mwanzoni kabisa za mtandaoni.

Unaweza ukasoma zaidi kuhusu Wauzaji kwenye “About Us” Page.

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general