Wauzaji Education

Elimu ya maisha Tanzania ikiwemo elimu ya maisha na jinsi ya kujikwamua kiuchumi pamoja na kuwa na tabia njema kweye jamii.

Jinsi Ya Kupunguza Gharama Ya Ujenzi Tanzania

Jinsi Ya Kupunguza Gharama Ya Ujenzi Tanzania

Jinsi Ya Kupunguza Gharama Ya Ujenzi wa Nyumba Tanzania ni muhimu kwasababu watu wengi wamejikuta katika hali ngumu ya kifedha au hata kukwama katika ujenzi kutokana na kushindwa kuweka mikakati mizuri ya kupunguza gharama za ujenzi. 1. Jitahidi Kuchagua Kiwanja Bora Jinsi ya kuchagua kiwanja sahihi wa kiwanja ...

S0MA ZAIDI
Tabia za Mafanikio Kwenye Maisha

Tabia za Mafanikio Kwenye Maisha

Kila jambo tunaloliona kwenye ulimwengu wa leo lilianza kwanza kwenye fikra. hauwezi kufanikiwa ikiwa hautoona lile unalotaka kulifanya au kulifanikisha akilini mwako kwanza. 1. Amini Kuwa Kila Kitu Kinawezekana Hakuna mtu yeyote anayeweza kuwa mshindi bila kuamini kwanza kuwa kila kitu kinawezekana. Ikiwa ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kusafiri Kwenye Maisha

Faida za Kusafiri Kwenye Maisha

Kusafiri kuna faida nyingi unazopaswa kuzifahamu Swala la kusafiri au kutembelea maeneo mbalimbali halijazoeleka sana kwetu waafrika kama ilivyo kwa wenzetu wazungu. Kusafiri siyo lazima kwenda nchi nyingine, bali hata safari za ndani ya nchi au za ndani ya eneo lako zina maana kubwa. 1. Kusafiri Kunasaidia ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuongea Mbele za Watu

Jinsi Ya Kuongea Mbele za Watu

Kuzungumza mbele ya watu kunaweza kuwa ni tatizo ikiwa hujiamini au hujajiandaa vyema Hata hivyo, mazoezi na mtazamo chanya vinaweza kukusaidia kuwa mzungumzaji bora mbele ya watu. 1. Jitahidi Kujiandaa na Kufanya Mazoezi Watu wengi wamekuwa wakikumbwa na hofu, wasiwasi na hata kutokwa na jasho sana wanapokuwa ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuwa Na Furaha Kwenye Maisha

Jinsi Ya Kuwa Na Furaha Kwenye Maisha

Kufahamu jinsi ya kuwa na furaha kwenye maisha ni jambo zuri kwasababu siku zote furaha itakusaidia sana kuondokana na mawazo na kuyaona maisha ni mazuri na yenye amani. 1. Jitahidi Sana Kusamehe Watu wengi hukosa furaha kutokana na kubeba uchungu na maumivu yaliyotokana na watu waliowakosea. Ikiwa unataka ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kusema Hapana Kwenye Maisha

Faida za Kusema Hapana Kwenye Maisha

Kwenye maisha yetu ni muhimu sana kusema Hapana na tunatakiwa kufanya maamuzi fulani ya kukataa na sio kukubaliana kila mipango au jambo. 1. Kusema Hapana Hukutenga na Mipango Mibaya Siyo kila mpango unafaa kwenye maisha yako. Mipango mingine inaweza kuangamiza ndoto na malengo yako. Kwa mfano mtu ...

S0MA ZAIDI
Madhara Ya Kunywa Pombe Kwenye Maisha

Madhara Ya Kunywa Pombe Kwenye Maisha

Unywaji wa pombe husababisha matatizo makuwa ya kiafya kwa watu wengi Tanzania kama vile magonjwa ya moyo, ini pamoja na majeraha yatokanayo na ajali zitokanazo na ulevi. Ni dhahiri kuwa vinywaji halisi vilivyotengenezwa kwa matunda bila kilevi ni bora zaidi kwa afya yako kuliko vile vyenye kilevi. 1. Pombe ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kutumia Muda Vizuri Kwenye Maisha

Jinsi Ya Kutumia Muda Vizuri Kwenye Maisha

Kutumia muda vizuri ni muhimu sana kwenye maisha Tanzania hivyo ni vyema kufahamu namna bora ya kutumia muda kwa njia yenye kuleta mafanikio. 1. Jitahidi kupanga siku yako vyema Usikimbilie kuanza majuku yako ya siku bila kukaa chini na kutumia dakika chache za kutafakari mambo kadhaa. Tafakari ni jambo gani ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kusamehe Kwenye Maisha

Faida za Kusamehe Kwenye Maisha

Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia neno “nisamehe” ndipo uendelee na maisha yako. Kusamehe kumewekwa na ni kwa manufaa zaidi kwa yule aliyekosewa. 1. Kusamehe Hukuweka Huru ...

S0MA ZAIDI
Tabia za Watu Wenye Wivu Kwenye Maisha

Tabia za Watu Wenye Wivu Kwenye Maisha

Wivu kwenye maisha hauwaathiri wale walio nao pekee, ni vyema nawe ukafahamu tabia za watu wenye wivu ili uwaepuke wasije wakakuathiri kwa kukurudisha nyuma katika hatua zako za maendeleo. 1. Huwa Hawapendi Mafanikio Ya Wengine Moja kati ya tabia kubwa ya watu wenye wivu ni kutostaajabishwa na mafanikio ya ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuacha Kunywa Pombe Kwenye Maisha

Jinsi Ya Kuacha Kunywa Pombe Kwenye Maisha

Pombe ni kinywaji kinachotumiwa na watu wengi Tanzania pasipo hata kufahamu athari zake na Pombe ina athari mbalimbali kiafya na kisaikolojia. Wengi baada ya kuathiriwa na pombe hutamani kujua jinsi ya kuachana na unywaji wa pombe lakini ni wachache tu ndiyo hufanikiwa katika hili. 1. Jitahidi Kuwaepuka Watu ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha

Faida za Kupanga Malengo Kwenye Maisha

Kujiwekea malengo maishani kuna umuhimu mkubwa kwani kupanga malengo hutufanya tujikite sawasawa kwenye kila tunachokifanya ili kifanikiwe. Kabla hujakamilisha chochote maishani, ni lazima ufahamu unahitaji nini. Ni lazima ukae chini utafakari kama kile unachokifanya kina thamani kwako ikiwa hakina thamani, basi ...

S0MA ZAIDI
Madhara Ya Betting Kwenye Maisha

Madhara Ya Betting Kwenye Maisha

Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi au changamoto za maisha watu wengi hutekwa na mambo mbalimbali hasa yale yanayohusu kupata pesa za haraka. Nilipofanya utafiti mdogo nilibaini kuwa “njia za kupata pesa kwa haraka” pamoja na “njia za kupata utajiri kwa haraka” ni moja kati ya vitu vinavyotafutwa sana na watu ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Unapochagua Bank

Mambo Ya Kuzingatia Unapochagua Bank

Vitu vya kuzingatia unapochagua bank ya biashara ni muhimu kufahamu kwasababu benki ni taasisi muhimu ambayo siyo rahisi mtu kukwepa kuitumia kwa njia moja au nyingine. Kuhifadhi au kusafirisha pesa kwa njia za zamani kumepitwa na wakati sasa ni wakati wa kutumia mifumo salama na ya kisasa. Kwa kuwa benki ni ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kufanikiwa Mapema Kwenye Maisha

Jinsi Ya Kufanikiwa Mapema Kwenye Maisha

Jinsi Ya kufanikiwa mapema kwenye maisha hapa Tanzania ni muhimu kufahamu ili uweze kufikia malengo ya mafanikio kwa haraka 1. Jitahidi Kusoma Vitabu Kupitia vitabu unaweza kujifunza mambo mbali mbali kama vile: Njia za kukabiliana na matatizo mbalimbali.Njia za kufanya mambo mbalimbali kwa ufanisi.Jinsi ya ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Unapochagua Mpenzi

Mambo Ya Kuzingatia Unapochagua Mpenzi

Jinsi ya kuchagua mchumba ni swala nyeti linalohitaji maamuzi yanayohusisha hekima, utulivu, kumwomba Mungu pamoja na uchunguzi wa kutosha. Maisha ya watu wengi yamekuwa na matatizo makubwa kutokana na kufanya makosa katika kuchagua mtu wa kuoa au kuolewa naye. Kwa hakika hakuna mwenzi mkamilifu, lakini kuna ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kuwa na Uvumilivu Kwenye Maisha

Faida za Kuwa na Uvumilivu Kwenye Maisha

Kukosa uvumilivu na subira kwenye maisha kumewafanya wengi kushindwa kufanya maamuzi sahihi na kujikuta wakitumbukia kwenye shida zaidi. Haijalishi unapitia magumu mengi kiasi gani, kuvumilia na kuwa na subira kuna faida nyingi na ni lazima. 1. Uvumilivu Husaidia Kufanya Maamuzi Sahihi Ndani ya uvumilivu ...

S0MA ZAIDI
Tabia za Watu Waliofanikiwa Kwenye Maisha

Tabia za Watu Waliofanikiwa Kwenye Maisha

Mara nyingi watu hawa huwa na mfuatano au mpangilio mzuri na unaoeleweka wa kazi au maamuzi yao. Kwa kifupi watu hawa hufanikiwa sana na ndiyo huitwa watu waliojipanga. 1. Watu Waliofanikiwa Huwa Wanaandika Kila Kitu Kuandika vitu ni njia mojawapo ya kutekeleza mambo kwa mpangilio. Watu waliojipanga huandika ...

S0MA ZAIDI
Watu wa Kuwaepuka Kwenye Maisha

Watu wa Kuwaepuka Kwenye Maisha

Kuna baadhi ya watu inabidi kuwaepuka kwenye maisha Tanzania kwasababu wanaweza kukurudisha nyuma kimaendeleo na uchumi wako ukaporomoka. 1. Jitahidi Kuwaepuka Watu Wanaohoji Kila Kitu Watu wanaohoji kila kitu hutafuta njia ya kupinga na kukosoa kila unachokifanya. Utatumia muda mwingi kuwaelewesha lakini ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kuweka Akiba Kwenye Maisha

Faida za Kuweka Akiba Kwenye Maisha

Kuweka akiba ni kanuni mojawapo ya matumizi mazuri ya pesa. Hata hivyo kutokana na watu wengi kutokuwa na matumizi mazuri ya pesa, bado wengi wanashindwa kuweka akiba. Baadhi ya watu hufikiri kuwa ili uweze kuweka akiba ni lazima uwe na pesa nyingi, lakini ukweli ni kuwa kuweka akiba ni maamuzi tu na siyo kuwa na ...

S0MA ZAIDI
Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kustaafu

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kustaafu

Kumeshuhudiwa watu wakiishi maisha ya taabu na mahangaiko makubwa baada ya kustaafu na Hili linatokana na kutokujiandaa vyema kabla ya kustaafu. 1. Jitahidi Kujiandaa Kisaikolojia Kustaafu ni kipindi tofauti sana na kipindi ulichokuwa kwenye ajira. Kipindi hiki utakutana na mtindo mpya wamaisha tofauti na ule ...

S0MA ZAIDI
Faida za Kukosea Kwenye Maisha

Faida za Kukosea Kwenye Maisha

Faida za kukosea kwenye maisha ni muhimu kuzifahamu na unaweza kujifunza kutokana na makosa mbalimbali unayoyafanya kila mara maishani mwako. 1. Makosa Hutuonyesha Mambo Tusiyoyafahamu Ni wazi kuwa makosa mengine hutokea kwa kufanya vitu au maamuzi tusiyoyafahamu vyema. Kwa njia ya makosa hayo tutaweza kufahamu ...

S0MA ZAIDI
Jinsi Ya Kuepukana Na Hofu Kwenye Maisha

Jinsi Ya Kuepukana Na Hofu Kwenye Maisha

Jinsi ya kuepukana na hofu kwenye maisha ni muhimu kufahamu kwasababu hofu sio nzuri na ina madhara makubwa sana kwenye maisha yetu ya kila siku. 1. Jitahidi Kupunguza imani Potofu Wakati mwingine watu wanapata hofu kutokana na imani au fikra potofu pekee. Kwa mfano unaogopa kinyonga kwa sababu umesikia kuwa ...

S0MA ZAIDI
Hasara za Kuangalia Tv Kwenye Maisha

Hasara za Kuangalia Tv Kwenye Maisha

Televisheni imekuwa ni kifaa muhimu kwa ajili ya habari na burudani Tanzania hata hivyo television inaweza kuwa na madhara kadha wa kadha kwako ikiwa haitotawaliwa vyema. 1. Kuangalia Tv Hupoteza Muda Unapokaa na kuangalia televisheni ni wazi kuwa unatumia muda mwingi na wa muhimu sana. Hii ni kutokana na ...

S0MA ZAIDI
Wauzaji
Logo