Ukianza biashara yoyote Tanzania changamoto za mwanzoni Kwenye Biashara ni nyingi sana na ni muhimu kufahamu changamoto za biashara ndogo ndogo.
1. Mwanzoni Kwenye Biashara Utahisi Maumivu
Kila mtu aliyefanikiwa amepitia kwenye safari yenye maumivu na ikumbukwe kuwa kupita njia yenye changamoto ndiko ...
Katika jaamii zetu za kiafrika ikiwemo Tanzania suala la mikopo ya bidhaa au fedha kutoka kwenye biashara kwenda kwa wateja limezoeleka sana.
Ingawa jambo hili linaweza kuwa na manufaa kwa upande fulani, hata hivyo kutokana na kukosekana kwa uaminifu miongoni mwa watu wengi jambo hili limekuwa na athari nyingi ...
Biashara ya saloon imekuwa Biashara maarufu sana Tanzania na Huwaingizia Kipato watu wengi katika Maeneo Mbalimbali hapa Tanzania
Ukizingatia kuwa Biashara ya saloon ni endelevu mfano mzuri ni kwa sababu kila siku nywele kwenye vichwa vya watu hukua na pia kwa wanawake mitindo mipya huja kila siku.
Faida Ya ...
Biashara Ya Vifaa vya ujenzi tanzania ni nzuri sana lakini ili kufanikiwa katika biashara ya vifaa vya ujenzi kuna kuhitaji ujue mbinu za biashara pamoja na faida zake kwa tanzania
1. Litambue soko lako la Biashara Ya Vifaa
Kulitambua soko ni pamoja na kutambua wateja tarajiwa wa vifaa vya ujenzi na mambo ...
Logo ni utambulisho wa biashara, kampuni yako au bidhaa Hivyo, Logo ni moja kati ya mambo makuu ambayo yanafanya biashara yako kukumbukwa na kutambulika.
Makampuni na watu mbalimbali wamekuwa wakiwekeza fedha nyingi ili kupata Logo bora Pamoja na kuwekeza pesa nyingi, bado kampuni na watu wengi hawapati Logo bora. ...
Jinsi ya kutengeneza pesa online
Kuanzisha blogu
Kama wewe ni mwandishi unaweza kutengeneza pesa online kwa kuanzisha blogu yako na kuandika makala au habari mbalimbali Unachotakiwa kuzingatia ni mahitaji ya walengwa wako na kuwapa kile wanachotaka.
Kama wewe ni shabiki mkubwa wa masuala ya mpira basi blogu ...
Jinsi ya kutangaza biashara tanzania ni swala muhimu kwa kila biashara Tanzania ila Tatizo linatokea pale ambapo biashara inashindwa kumudu gharama za matangazo, hasa matangazo ya gharama kubwa.
Naamini wewe kama mjasiriamali unafahamu kuwa kuna wakati bajeti ya biashara inakuwa imebana. Hivyo swala la kujitangaza ...
Kama umewahi kuwa na ndoto au matamanio ya kuwa mwandishi mkubwa hata kuwa mwandishi bora katika blogu yako, basi ni vyema ukajifunza namna ya kuwa mwandishi bora.
1. Jitahidi Kusoma Maandiko Bora
Ni dhahiri kuwa ukihitaji kufahamu nini mana ya uandishi bora ni lazima usome maandiko bora yaliyoandikwa na ...
Siri mbalimbali za mafanikio katika maisha pamoja na mafanikio kwenye biashara ambazo matajiri na watu waliofanikiwa hawazisemagi kwa uwazi.
1. Fedha Siyo Makaratasi
Watu wengi wamekuwa wanafikiria fedha ni yale makaratasi au sarafu ambazo tunazishika Na hapa ndipo wengi wanapokwama, kwa sababu wanakosa ule ...
Watu wengi hawafahamu umuhimu wa kupumzika, ndiyo maana hawatengi muda wa kutosha wa kupumzika.
Ni ukweli usiopingika kuwa kupumzika kuna manufaa makubwa sana kwenye miili na utendaji wetu wa kazi kila siku.
1. Kupumizika Huongeza Uwezo wa Kumbukumbu
Ubongo wa mwanadamu unahitaji kupumzika ili uweze ...
Vitu vya kuzingatia Kabla ya kufungua kampuni au kufungua biashara yako Tanzania ili uweze kupata mafanikio katika siku za mbeleni kwenye maisha yako.
1. Chagua wazo bora la biashara
Katika eneo ambalo watu wengi hukosea wakati wanapoanzisha kampuni au biashara ni uchaguzi wa wazo la kibiashara.
Unapochagua ...
Mambo Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuomba Mkopo wa Biashara ni muhimu kufahamu Kutokana na kipato cha watu wengi kutokutosheleza mahitaji yao, hujikuta wakilazimika kukopa.
Pia wapo waliofanikiwa sana kwenye mipango yao kutokana na mikopo, lakini wapo pia waliofilisika kutokana na mikopo.
1. Fahamu Uwezo Wako wa ...
Mbinu mojawapo ya kuongeza faida katika kampuni au biashara yako ni kwa kupunguza matumizi ya kampuni yako.
Suala la kupunguza matumizi ya pesa ni muhimu zaidi hasa pale ambapo kampuni inakuwa inakabiliwa na changamoto za kifedha.
1. Jitahidi Kupanga Upya Matumizi
Kuna matumizi mbalimbali kwenye kila ...
Faida Ya Kulipia Matangazo Facebook?
Facebook Sponsored Ads inatoa matokeo bora hasa kwenye kutangaza biashara yako au huduma yako kuliko njia nyingine yeyote.
Unaweza kutangaza biashara au huduma yako kwenye eneo husika
Unapofanya matangazo ya Sponsored mara zote inakupa chaguzi ya kuchagua wapi unataka ...
Biashara ya duka ni kuuza vitu au kutoa huduma kwa wateja kwa ajili ya matumizi ya kawaida Bidhaa zinaweza kuuzwa mtandaoni na kisha kutumwa kwa wateja.
Mifano ya biashara za rejareja ni pamoja na mavazi, mboga, na baadhi ya maduka.
Jinsi ya kuanzisha biashara ya rejareja?
Andaa mpango wako wa ...
Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza kufanya biashara tanzania ili kupelekea kufanya biashara na kupata mafanikio katika biashara yako
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza biashara
Tambua biashara gani inakufaa.
Kabla ya kufanya maamuzi yoyote ya biashara fanya utafiti wa biashara gani inakufaa. Tumia ...
Jinsi ya kuchagua sehemu ya biashara kwa Tanzania ni muhimu sana kwasababu itachangia na kuongeza mafanikio ya kwenye biashara.
1. Angalia Ushindani wa Biashara
Ushindani ni jambo muhimu sana linaloweza kufanya eneo la biashara kuwa zuri au baya. Hebu fikiri mtu mchanga kabisa anaanzisha biashara mahali ambapo ...
Jinsi ya kupata mtaji wa biashara Tanzania ni muhimu sana kwa kuwa watu wengi huanzisha biashara kwa lengo la kupata pesa ila huwa ni ngumu sana kupata mtaji.
1. Jitahidi kuweka akiba binafsi
Mara kadhaa nimekuwa nikieleza kuwa kuweka akiba kuna manufaa mengi, ikiwemo kupata uwezo wa kuwahi fursa mbalimbali na ...
Wajasiriamali wengi waliofanikiwa Tanzania wanafahamu na wanaziishi sifa za wajasiriamali bora. Ni wazi kuwa huwezi kuwa mfanyabiashara bora wakati unazo sifa za mwajiriwa.
1. Wafanya biashara wakubwa wana malengo
Malengo ni mwongozo wa kukuwezesha kufanikisha jambo lolote. Kuwa na malengo ni sifa muhimu ambayo ...
Changamoto za biashara kwa wajasiriamali wadogo wa Tanzania ni nyingi na wamekuwa wakikabiliwa zaidi na changamoto na hata kupelekea kupoteza biashara au miradi yao.
1. Jinsi ya kupata mtaji wa biashara
Kila biashara inahitaji mtaji ili iweze kujiendesha na kujipanua. Wajasiriamali wengi wanashindwa kuanzisha ...
Mara nyingi tunanunua vitu na bidhaa mbalimbali Tanzania bila kuzifahamu au kuzichunguza vyema Hili limepelekea watu wengi kununua bidhaa zisizofaa kwao au zenye madhara kwenye afya zao.
Kutokana na ukosefu wa elimu pamoja na kuishi kwa mazoea, watu wengi hawajui wala hawachunguzi vyema bidhaa wanazozinunua ili ...
Tangazo ni ujumbe wowote wenye kufanya kazi ya kutangaza kitu au huduma fulani. Kutangaza ni kitendo cha kuwafahamisha wateja kwa kuwawezesha kufahamu kuhusu huduma au bidhaa fulani unayoitoa katika biashara yako.
Jinsi ya kuandaa Tangazo La biashara kwa urahisi.
Hizi ni hatua sita pale unapotaka ...
Wengi hutamani kuanza ujasiriamali na kuwa wafanyabiashara wakubwa Tanzania lakini siyo wote wanaofanikiwa kutokana na kutokufahamu kanuni muhimu za ujasiriamali.
1. Jitahidi Kuwa Mtatuzi wa Matatizo
Ujasiriamali ni zaidi ya kupata pesa, ni lazima kwanza utatue changamoto ya mtu ndipo utaweza kupata pesa kutoka ...
Faida za kutangaza biashara kwenye Mitandao ya kijamii?
Gharama ya Kujitangaza ni ndogo sana
Gharama ya mitandao ya kijamii ni nafuu sana na programu nyingi za mitandao ya kijamii ni bure. Kutangaza kupitia mitandao ni rahisi mno ukilinganisha na njia za kawaida tulizo zoea.
Inaongeza ufahamu wa biashara ...