Kilimo cha ufuta kwa Tanzania ni zao ambalo hulimwa kwa ajili ya chakula na biashara pia mbegu za zao hili huwa na wastani wa mafuta kiasi cha asilimia 45.
Jinsi Ya Kuchagua Mbegu za Ufuta
Chagua aina ya mbegu inayotoa mazao mengi na bora, inayovumilia mashambulizi ya magonjwa na wadudu, inayokomaa mapema na ...
Kilimo cha Bustani Tanzania ni kilimo kizuri sana na ili kupata bustani iliyobora wewe kama mkulima ni lazima uwe muangalifu wakati wa kupanda bustani yako.
Mambo ya kuzingatia kwenye kilimo cha bustani
1. Mwinuko
Eneo lisiwe kwenye mwinuko mkali kwa sababu sehemu kama hizo zinaweza kusababisha mmomonyoko wa ...
Kilimo cha Nyanya Tanzania Hufanywa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mengi ya tanzania Pia Nyanya ni miongoni mwa mazao jamii ya mboga mboga.
Tunda la nyanya hutumika kama kiungo muhimu katika mapishi na utengenezaji wa kachumbari na pia kama tunda.
Faida za Kilimo cha Nyanya
Nyanya ni chanzo kizuri ...
Kilimo cha viazi vitamu hulimwa sana Tanzania pia viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi nchini Tanzania ambalo hulimwa kwa ajili ya chakula.
Matumizi Ya Viazi Vitamu
Viazi vitamu hutumika kama chakula kwa kutayarishwa katika njia mbalimbali kama vichembe, na Matobolwa.
Pia Unga wa viazi vitamu ...
Vitunguu maji ni zao muhimu sana hapa Tanzania kwasababu kilimo cha vitunguu maji ni zao la chakula na biashara kwa wakulima wadogo.
Uzalishaji wa vitunguu maji kwa Tanzania bado ni mdogo na upotevu wa mazao baada ya kuvuna ni mkubwa kutokana na hifadhi duni.
Hivyo wakulima wanahitaji utaalamu wa kilimo bora ...
Kilimo cha mahindi ni kilimo maarufu sana kwa Tanzania na zao hili lina faida nyingi sana kwasababu hutumika kwa chakula na pia hutumika kwa biashara
Maelezo Ya Kilimo Cha Mahindi
Mahindi ni zao muhimu linalo limwa katika maeneo ya kitropiki.
Udongo unaokubali zaidi ni wenye uchachu pH 6-6.5
Mahindi ...
Kilimo cha miti Tanzania kimeendelea kuja kwa kasi hapa nchini Licha ya kwamba uwekezaji katika aina hii ya kilimo huchukua muda mrefu kuona faida yake na inaelezwa kuwa utajiri wake ni mkubwa na watanzania wengi zaidi wanatakiwa kuchangamkia kilimo hiki cha miti.
Kuanzisha Shamba La Kilimo cha Miti
...
Kilimo cha parachichi kinaendelea kukua sana Tanzania Pia kilimo hichi cha maparachichi hakihitaji fedha nyingi na bali ni subira ya ukuaji wa matunda ya Parachichi.
Tanzania kilimo hichi kimeanza kushika kasi zaidi mwaka 2015 ambapo baadhi ya watu walijitokeza na kuelezea mafanikio waliyopata kutokana na kilimo ...
Kilimo cha Bamia kwa Tanzania ni kilimo maarufu sana kwasababu bamia ni zao linalolimwa sana nchi za joto na zao la bamia hutumika kama mboga.
Matumizi Ya Bamia
Bamia hupikwa pamoja na nyama, samaki au mboga nyingine.
Jinsi Ya Kupanda Bamia
Mbegu mbili za bamia zipandwe kwenye shimo moja na nafasi ya ...
Kilimo cha mchicha ni moja wapo ya mboga za asili ambayo hulimwa katika mikoa yote hapa Tanzania pia mchicha huweza huliwa baada ya kupikwa au kutengenezwa supu.
Mbegu zake zinaweza kusagwa na kupata unga unaoweza kutumika katika mapishi mbalimbali kama vile kutengeneza ugali, uji, chapati na maandazi.
...
Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi na Kilimo hiki cha migomba ni maarufu sana.
Kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu.
Zao la ndizi linaweza kuwa moja kati ya mazao ya biashara iwapo ...
Karoti ni kilimo cha zao la mbogamboga ambalo ni zao mzizi, kwa kawaida Tanzania hupatikana katika rangi ya machungwa, nyekundu na njano.
Karoti hutumika sana kwaajili ya kuongeza radha kama kiungo kwenye mboga au kwenye kachumbari na pia zinafaida kubwa katika mwili kwa kukupatia vitamin A na C pamoja na madini ...
Viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi Kutokana na uwezo wake wa kuvumilia ukame, zao hili la viazi vitamu ni moja kati ya mazao ya kinga ya njaa
Hapa nchini zao hili la viazi vitamu hulimwa zaidi katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Morogoro, Kagera, Arusha na Ruvuma.
Kuna aina mbalimbali ...
Kilimo cha Pamba hulimwa nchini Tanzania na hukuzwa mikoa mbalimbali na pia pamba ndio hutumika kutengenezea uzi na nguo.
Pia mbegu za pamba hutumika kutengeza mafuta, mafuta ambayo tunatumia kupikia na mashudu ya mbegu yana kiasi cha protein ambayo mashudu hayo hutumika kama chakula kwa mifugo.
Hali Ya Hewa ...
Kilimo cha tikiti maji kimekuwa kikijizolea umaarufu mkubwa hapa nchini na Wakulima wengi zaidi wamekuwa wakihamia kwenye kilimo hiki cha matikiti miaka ya hivi karibuni.
Katika mijadala mbalimbali ya fursa za kilimo, kilimo cha matikiti ni nadra sana kukosekana.
Hapa Tanzania soko la tikiti maji ni zuri ...
Kilimo cha mchicha ni kizuri kwa sababu huwa hakichukui muda mwingi katika upandaji hadi uvunaji pia kilimo cha mchicha kina faida sana pale mtu anapoamua kuwekeza katika kilimo hiki.
Hal Ya Hewa Kwenye Kilimo cha Mchicha
Mchicha unahitaji maji ya kutosha katika kipindi chake chote cha ukuaji hadi kuvuna. ...
Viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi Tanzania. Kutokana na uwezo wake wa kuvumilia ukame pia zao hili ni moja kati ya mazao ya kinga ya njaa.
Hapa Tanzania zao la viazi vitamu hulimwa zaidi katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Dodoma, Morogoro, Kagera, Arusha na Ruvuma.
Kuna aina mbalimbali za ...
Kilimo cha Kabichi Kwa Tanzania ni maarufu sana pia zao la cabbage hustawi zaidi katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Morogoro, Tanga, Iringa na Mbeya.
Kabichi ina madini aina ya chokaa, kambakamba, protini na maji kwa wingi pia Cabbage inaweza kuliwa bila kupikwa au kuchemshwa kwa kutengeneza kachumbari.
Pia ...
Kilimo cha Mkonge ni moja kati Kilimo cha biashara Tanzania Asili ya zao hili ni Mexico na baadae likasambaa katika nchi nyingine nyingi ikiwemo Tanzania
Na kwa mara ya kwanza lilitambushwa katika nchi za kitropikia na subtropikia India, Tanzania, Brazil, Kenya south Africa, Angola, Mozambique, ...
Kilimo cha Mboga mboga ni kizuri sana kwa sababu mboga ni sehemu yoyote ya mmea inayoweza kuliwa na binadamu ambayo haina sukari kama matunda.
Mboga huweza kuliwa zikiwa zimepikwa na mara nyingi huwekewa chumvi ili kuongeza ladha na pia huweza kuliwa zikiwa mbichi kwa mfano kwenye kachumbari.
Mboga ni sehemu ...
Kilimo cha Papai ni kilimo kizuri sana hapa Tanzania na mapapai ni moja ya matunda ambayo ni maarufu pia ni mazuri sana kwa afya.
Ekari moja ya papai inachukua miche 1000-1200 kwa maana ya mita mbili kwa mbili kutoka mti hadi mti na hii ni kwa ile mbegu fupi.
Ukilima kwa kufuata utaalamu ni kwamba mti mmoja ...
Kilimo cha umwagiliaji Tanzania ni kizuri ila Wakulima wengi hawana uelewa kuhusu kilimo cha umwagiliaji hivyo mvua inakuwa chanzo pekee cha wao kupata maji ya uhakika.
Mbali na kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusu aina hiyo ya kilimo, wakulima wengi pia huchagua kuamini kuwa kilimo cha umwagiliaji hufanywa na watu ...
Kilimo cha Mihogo ni kizuri sana kwa Tanzania pia ni zao linalo stahimili sana ukame na ni zao la chakula na pia ni zao la biashara.
Maelezo Ya Kilimo Cha Mihogo
Kwenye ukanda wa Ikweta zao hili hulimwa hadi mita 1500 kutoka usawa wa bahari pia halijoto ya 20-30° hufaa kwa kilimo cha mihogo.
Zao hili ...
Kilimo cha Parachichi Tanzania ni Kilimo kizuri sana na tunda hili lina faida nyingi sana, mbali ya parachichi kutumika kama zao la kiuchumi lakini pia hutumika kuimarisha afya ya mwili.
Faida za Kula Parachichi Mwilini
Lina Vitamini A - husaidia sana kuimarisha Macho kuona vizuri
Lina Vitamini B (B1-B12)- ...