Wauzaji wa Dawa Ya Presha Tanzania

Verified
TZS 30,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Dawa Ya Presha Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa Ya Presha za Asili Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa Ya Presha inayouzwa ni original na ina ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Dawa Ya Presha Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Dawa Ya Pressure Tanzania.

Wauzaji wa Dawa Ya Presha Tanzania

Bei Ya Dawa Ya Presha kwa Wauzaji wa Dawa Ya Presha Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Dozi za Dawa Ya Presha unazotaka kununua.

Sababu za Ugonjwa wa Presha

  1. Uzito mkubwa na kitambi – uzito wako unavoongezeka zaidi ndivyo hataru ya kupata presha kubwa ya damu huongezeka hii ni kutokana na uhitaji mkubwa wa damu katika kusafirisha chakula hewa mwilini.
  2. Umri – kuugua presha kunaongezeka kadri umri unavoongezeka. Wanaume huugua zaidi wakiwa na miaka 45 na kuendelea na wanawake wanaugua zaidi wakiwa na miaka kuanzia 65.
  3. Kutokushugulisha mwili: watu wasiofanya mazoezi na kushugulisha miili yao, mapigo ya moyo huenda kasi sana na hivo kupelekea shinikizo la damu kuwa juu. Kukosa mazoezi pia huchangia kuongezeka uzito.
  4. Matumizi ya pombe na sigara – kemikali zilizopo kwenye tumbaku zinaharibu mishipa ya damu ya kuifanya kuwa migumu na hivo mishipa kuwa miyembamba na kupelekea presha ya damu kuongezeka, pombe pia ni kihatarishi kwa shinikizo la damu.
  5. Msongo wa mawazo na baadhi ya matatizo sugu kama magonjwa ya figo , kisukari na kukosa usingizi.

Dalili za Ugonjwa wa Presha

  1. Kizunguzungu
  2. Kutokwa jasho
  3. Madhaifu ya hali ya moyo (kuwa mkali, kuwa na huzuni, kukanganyikiwa)
  4. Kifua kubana
  5. Kuhisi mapigo ya moyo yanaenda kasi
  6. Kupata haja kubwa ngumu

Jinsi Ya Kujikinga na Presha

1. Fanya mazoezi ya mwili na viungo walau kila siku kwa dakika kama 30 mpaka 60 ili kujikinga na ugonjwa wa presha.

2. Kula vyakula vilivyo bora kwa afya, ambavyo vinasaidia kupunguza ama kuzuia presha. Kitaalamu mlo huu huitwa DASH yaani Diet Aproaches to Stop Hypertension.

3. Punguza ulaji wa chumvi sana. Kuzidi kwa ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi kunaweza kusababisha presha ya kupanda.

4. Punguza uzito uliozidi mwilini. Rafiki mkubwa wa presha ni kuzidi kwa uzito. Na tambua kuwa uzito wa mwili unatakiwa uendane na urefu wa mtu na si umri ama unene alio nao.

5. Punguza matumizi ya sigara ama Acha kabisa. Ndani ya sigara kuna kemikali za nicotine na Maranyingi sana Nicotine ni chanzo cha Ugonjwa wa presha ya kupanda.

6. Punguza unywaji wa pombe ama Acha kabisa Kwasababu Unywaji wa pombe sio hatari tu wa afya ya moyo lakini pia unaweza kuleta shida nyingine za kiafya kama saratani.

7. Hakikisha huna misongo ya mawazo Kwasababu Misongo ya mawazo inaweza kuwa ni adui mkubwa wa afya ya ubongo.

Wauzaji wa Dawa Ya Presha Tanzania
Wauzaji wa Dawa Ya Presha Tanzania
TZS 30,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply