Wauzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo Tanzania

Verified
TZS 30,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo za Asili Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa Ya Vidonda vya Tumbo inayouzwa ni original na ina ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo Tanzania.

Wauzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo Tanzania

Bei Ya Dawa Ya Vidonda vya Tumbo kwa Wauzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Dozi za Dawa Ya Vidonda vya Tumbo unazotaka kununua.

Sababu za Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

 1. Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori)
 2. Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin
 3. Kuwa na mawazo mengi
 4. Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi
 5. Kunywa pombe na vinywaji vikali
 6. Uvutaji wa sigara
 7. Kuto kula mlo kwa mpangilio

Dalili za Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo

 1. Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa kama ya moto baada na kabla ya kula
 2. Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo
 3. Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa
 4. Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu
 5. Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu
 6. Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito
 7. Kushindwa kupumua vizuri

Jinsi Ya Kujilinda na Vidonda vya Tumbo

 1. Kunywa maji mengi
 2. Punguza mawazo
 3. Punguza kiwango cha choresterol
 4. Usivute sigara
 5. Punguza au acha kunywa pombe
 6. Kula vizuri vyakula bora haswa vya asili
 7. Lala vizuri masaa 7 hadi 9
Wauzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo Tanzania
Wauzaji wa Dawa Ya Vidonda vya Tumbo Tanzania
TZS 30,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo