Wauzaji wa Dawa Ya Kisukari Tanzania

Verified
TZS 30,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Dawa Ya Kisukari Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa Ya Kisukari za Asili Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa Ya Kisukari inayouzwa ni original na ina ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Dawa Ya Kisukari Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Dawa Ya Kisukari Tanzania.

Wauzaji wa Dawa Ya Kisukari Tanzania

Bei Ya Dawa Ya Kisukari kwa Wauzaji wa Dawa Ya Kisukari Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Dozi za Dawa Ya Kisukari unazotaka kununua.

Sababu za Ugonjwa wa Kisukari

 1. Uzito uliozidi
 2. Historia ya kuwa na wagonjwa wa kisukari katika familia
 3. Kutokufanya mazoezi
 4. Shinikizo la damu
 5. Msongo wa mawazo
 6. Matumizi makubwa ya pombe na sigara

Dalili za Ugonjwa wa Kisukari

 1. Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati
 2. Kwenda haja ndogo mara kwa mara.
 3. Watoto kukojoa kitandani
 4. Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati
 5. Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri
 6. Kusikia njaa kila wakati na kula sana
 7. Wanawake kuwashwa ukeni
 8. Kutoona vizuri
 9. Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake
 10. Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole
 11. Miguu kuoza
 12. Kukaukwa na ngozi na pia kupata ganzi katika miguu
 13. Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka
 14. Majipu mwilini

Jinsi Ya Kujikinga na Kisukari

1. Fanya mazoezi kila siku angalau kwa dakika 30 au Nusu saa kwa siku, tafiti zinaonyesha kwamba mazoezi ni njia nzuri ya kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu.

2. Kula mlo kamili,mlo wenye virutubisho vyote kwa kiwango sahihi kinachohitajika mwilini, epuka matumizi ya sukari kupita kiasi au kula vyakula vya wanga mwingi kuliko vyakula vingine.

3. Hakikisha unakuwa na uzito sahihi na kuepuka matatizo kama vile; kuwa na uzito mkubwa(overweight) au kuwa mnene kupita kawaida.

4. Epuka tabia hatari ya uvutaji wa Sigara.

5. Epuka kabsa matumizi ya pombe au Dhibiti sana matumizi ya Pombe, Tafiti zinaonyesha kwamba Pombe inaweza kuongeza kiwango cha Sukari kwenye damu ndani ya mwili wako.

Wauzaji wa Dawa Ya Kisukari Tanzania
Wauzaji wa Dawa Ya Kisukari Tanzania
TZS 30,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo