Wauzaji wa Dawa Ya Bawasiri Tanzania

Verified
TZS 30,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Dawa Ya Bawasiri Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa Ya Bawasiri za Asili Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa Ya Bawasiri inayouzwa ni original na ina ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Dawa Ya Bawasiri Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Dawa Ya Bawasiri Tanzania.

Wauzaji wa Dawa Ya Bawasiri Tanzania

Bei Ya Dawa Ya Bawasiri kwa Wauzaji wa Dawa Ya Bawasiri Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Dozi za Dawa Ya Bawasiri unazotaka kununua.

Chanzo cha Ugonjwa wa Bawasiri

Bawasiri hutokea pindi mishipa inayozunguka sehemu ya kutolea haja kubwa kwa ndani kwenye kuta zake kuumia au kukandamizwa kwa kushuka chini na kuvimba.

Sababu za Ugonjwa wa Bawasiri

  1. Kuwa na Kinyesi kigumu (Constipation)
  2. Kuketi kwa muda mrefu kwenye choo
  3. Kuharisha (Kuhara) mara kwa mara
  4. Kuwa mnene au mzito
  5. Kuwa mjamzito
  6. Kuingiliwa nyuma kimaumbile
  7. Kutokula vyakula vyenye nyuzinyuzi
  8. Kunyanyua vitu vizito mara kwa mara

Dalili za Ugonjwa wa Bawasiri

  1. Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
  2. kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
  3. Kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
  4. Kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo
  5. Kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana

Jinsi Ya Kuzuia Bawasiri

  • Kula mbogamboga za majani, na nafaka zisizokobolewa, matumizi ya vyakula vya nyuzinyuzi kwa wingi husaidia kuongeza ukubwa wa kinyesi na hivo kurahisha utolewaji wake, kama mwanzo hukutumia vyakula vya nyuzinyuzi basi anza kuongeza taratibu kwenye mlo wako mpaka pale tumbo litakapozoea ili Uweze kujikinga na Bawasiri.
  • Tumia machungwa kwa wingi, machungwa yana kiungo kinachoitwa flavonoids, kiungo hiki ni muhimu katika ustawi wa mishipa ya damu ya Veins, mishipa hii ndio huathirika na kuletekeza bawasiri.
  • Kunywa maji ya kutosha kila siku ili Kuepuka Bawasiri Kwasababu Nyuzinyuzi na maji ya kutosha husaidia kulainisha choo chako na hivo kurahisisha utolewaji wake bila kujikamua.
  • Hakikisha unapata virutubisho kwa ajili ya Kuongeza bacteria wazuri ndani ya mfumo wa chakula, vyenye ubora wa hali ya juu. Kama huna chanzo kizuri cha kupata virutubisho hivi tunashauri fika ofisini kwetu kupata usaidizi.
Wauzaji wa Dawa Ya Bawasiri Tanzania
Wauzaji wa Dawa Ya Bawasiri Tanzania
TZS 30,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply