Wauzaji wa Bajaji Used na Mpya Tanzania

Verified
TZS 760,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Bajaji Tanzania Pamoja na wauzaji wa Bajaji used na mpya kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Bajaji zinazouzwa ni imara na zenye ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Bajaji Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Bajaji Tanzania.

Wauzaji wa Bajaji Tanzania

Bei Ya Bajaji kwa Wauzaji wa Bajaji Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Bajaji unazotaka kununua.

Wauzaji wa Bajaji Used na Mpya Tanzania
Wauzaji wa Bajaji Used na Mpya Tanzania
TZS 760,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

8 Comments
  1. Nawaza kweli siku za mbeleni kununua bajaji na kuanza kubeba abiria.

  2. Jitahidi Muweke na wauzaji wa bajaji za aina zote ili tuweze kuwasiliana nao kwa haraka zaidi

  3. Napenda sana kumiliki Bajaji natamani kweli kununua.

  4. Nitanunua siku na mimi bajaji yangu ya mizigo hapa Dar es salaam

Leave a reply

Wauzaji
Logo