Wasambazaji wa Maziwa Tanzania

Verified
TZS 20,000+ CALL / SMS

Wasambazaji wa Maziwa fresh na mtindi Tanzania Pamoja na Wasambazaji wa Maziwa ya Aina zote kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Maziwa yanayosambazwa ni mengi.

Na pia kwenye namba za simu za msambazaji wa Maziwa Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya Wasambazaji wa Maziwa Tanzania.

Wasambazaji wa Maziwa Tanzania

Bei Ya Maziwa kwa Wasambazaji wa Maziwa Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Maziwa unayotaka Kusambaziwa.

Wasambazaji wa Maziwa Tanzania
Wasambazaji wa Maziwa Tanzania
TZS 20,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo