Wauzaji wa Wheel Chair Tanzania Pamoja na wauzaji wa Viti vya wagonjwa na walemavu used na mpya kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Wheel Chair zinazouzwa ni imara na zenye ubora.
Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Wheel Chair Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa viti vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Wauzaji wa Wheel Chair Tanzania
Bei Ya Wheel Chair kwa Wauzaji wa Wheel Chair Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Wheel Chair unazotaka kununua.