Wauzaji wa Vifaa vya Kilimo Used na Vipya Tanzania

Verified
TZS 20,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Vifaa vya Kilimo Tanzania Pamoja na wauzaji wa Mashine na Vifaa vya Kilimo used na vipya kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Vifaa vya Kilimo vinavyouzwa ni imara na vyenye ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Vifaa vya Kilimo Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Vifaa na Mashine za Kilimo Tanzania.

Wauzaji wa Vifaa vya Kilimo Tanzania

Bei Ya Vifaa vya Kilimo kwa Wauzaji wa Vifaa vya Kilimo Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Vifaa vya Kilimo unavyotaka kununua.

Wauzaji wa Vifaa vya Kilimo Used na Vipya Tanzania
Wauzaji wa Vifaa vya Kilimo Used na Vipya Tanzania
TZS 20,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

2 Comments
  1. Tunawahitaji zaidi wauzaji wa vifaa vya kisasa aina ya tractors za kilimo ili ziweze kutuwezesha kulima nafasi kubwa ili tuweze kuzalisha mazao yakutosha yatakayo tuwezesha kukidhi mahitaji yetu kwa muda muafaka.

    Endapo mnao wauzaji wengine wa vifaa vingine vya kilimo ni kheri mkatuletea list ya wauzaji wote pamoja na bei ya vifaa vyao.

Leave a reply

Wauzaji
Logo