Wauzaji wa Toyota Voxy Tanzania

TZS 6,000,000+ HAJAPATIKANA

Bei ya Toyota Voxy Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Toyota Voxy tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Toyota Voxy na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Toyota Voxy Tanzania

Bei Ya Toyota Voxy Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Toyota Voxy ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Toyota Voxy

BrandToyota
ModelVoxy
Maximum Power140 – 158ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity1,986 – 1,998cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats5 – 8
ConditionUsed

Magari Ya Toyota Voxy Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Toyota Voxy.

Wauzaji wa Toyota Voxy Tanzania
Wauzaji wa Toyota Voxy Tanzania
TZS 6,000,000+

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general