Wauzaji wa Toyota Sienta Tanzania

Verified
TZS 5,000,000+ CALL / SMS

Bei ya Toyota Sienta Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Toyota Sienta tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Toyota Sienta na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Toyota Sienta Tanzania

Bei Ya Toyota Sienta Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Toyota Sienta ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Toyota Sienta

BrandToyota
ModelSienta
Maximum Power103 – 110ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity1,496cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats5 – 7
ConditionUsed

Magari Ya Toyota Sienta Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Toyota Sienta.

Wauzaji wa Toyota Sienta Tanzania
Wauzaji wa Toyota Sienta Tanzania
TZS 5,000,000+

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general