Wauzaji wa Toyota Ractis Tanzania

Verified
TZS 5,000,000+ CALL / SMS

Bei ya Toyota Ractis Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Toyota Ractis tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Toyota Ractis na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Toyota Ractis Tanzania

Bei Ya Toyota Ractis Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Toyota Ractis ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Toyota Ractis

BrandToyota
ModelRactis
Maximum Power87 – 110ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity1,296 – 1,496cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats5
ConditionUsed

Magari Ya Toyota Ractis Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Toyota Ractis.

Wauzaji wa Toyota Ractis Tanzania
Wauzaji wa Toyota Ractis Tanzania
TZS 5,000,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply