Bei ya Toyota Hilux Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Toyota Hilux tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.
Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Toyota Hilux na endapo nikiiona nitaiongeza.
Bei Ya Toyota Hilux Tanzania
Bei Ya Toyota Hilux Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.
Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Toyota Hilux ili iweze kuendana na uhalisia wake.
Sifa za Gari La Toyota Hilux
Brand | Toyota |
Model | Hilux |
Maximum Power | 88 – 150ps |
Launched in Tanzania | Yes |
Engine Capacity | 1,998 – 2,779cc |
Available in Tanzania | Yes |
Number of Seats | 2 – 5 |
Condition | Used |
Magari Ya Toyota Hilux Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Toyota Hilux.
Hallow naweza nikapata Toyota Hilux double cabin used?
Utapata boss na wauzaji wa hilux used wapo kwa ajili.