Wauzaji wa Toyota Hiace Tanzania

TZS 9,000,000+ HAJAPATIKANA

Bei ya Toyota Hiace Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Toyota Hiace tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Toyota Hiace na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Toyota Hiace Tanzania

Bei Ya Toyota Hiace Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Toyota Hiace ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Toyota Hiace

BrandToyota
ModelHiace
Maximum Power133 – 160ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity1,998 – 2,982cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats3 – 9
ConditionUsed

Magari Ya Toyota Hiace Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Toyota Hiace.

Wauzaji wa Toyota Hiace Tanzania
Wauzaji wa Toyota Hiace Tanzania
TZS 9,000,000+

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general