Wauzaji wa Suzuki Swift Tanzania

Verified
TZS 7,000,000+ CALL / SMS

Bei ya Suzuki Swift Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Suzuki Swift tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Suzuki Swift na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Suzuki Swift Tanzania

Bei Ya Suzuki Swift Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Suzuki Swift ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Suzuki Swift

BrandSuzuki
ModelSwift
Maximum Power88 – 125ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity996 – 1,586cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats5
ConditionUsed

Magari Ya Suzuki Swift Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Suzuki Swift.

Wauzaji wa Suzuki Swift Tanzania
Wauzaji wa Suzuki Swift Tanzania
TZS 7,000,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply