Wauzaji wa Suzuki Alto Tanzania

Verified
TZS 6,000,000+ CALL / SMS

Bei ya Suzuki Alto Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Suzuki Alto tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Suzuki Alto na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Suzuki Alto Tanzania

Bei Ya Suzuki Alto Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Suzuki Alto ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Suzuki Alto

BrandSuzuki
ModelAlto
Maximum Power40 – 64ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity657 – 658cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats2 – 4
ConditionUsed

Magari Ya Suzuki Alto Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Suzuki Alto.

Wauzaji wa Suzuki Alto Tanzania
Wauzaji wa Suzuki Alto Tanzania
TZS 6,000,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

1 Comment
  1. Naomba kujua ubora na changamoto za Suzuki Alto

Leave a reply