Wauzaji wa Subaru Justy Tanzania

TZS 6,000,000+ HAJAPATIKANA

Bei ya Subaru Justy Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Subaru Justy tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Subaru Justy na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Subaru Justy Tanzania

Bei Ya Subaru Justy Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Subaru Justy ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Subaru Justy

BrandSubaru
ModelJusty
Maximum Power63 – 98ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity996 – 997cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats5
ConditionUsed

Magari Ya Subaru Justy Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Subaru Justy.

Wauzaji wa Subaru Justy Tanzania
Wauzaji wa Subaru Justy Tanzania
TZS 6,000,000+

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general