Wauzaji wa Subaru Forester Tanzania

Verified
TZS 7,000,000+ CALL / SMS

Bei ya Subaru Forester Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Subaru Forester tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Subaru Forester na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Subaru Forester Tanzania

Bei Ya Subaru Forester Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Subaru Forester ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Subaru Forester

BrandSubaru
ModelForester
Maximum Power137 – 280ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity1,994 – 2,498cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats5
ConditionUsed

Magari Ya Subaru Forester Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Subaru Forester.

Wauzaji wa Subaru Forester Tanzania
Wauzaji wa Subaru Forester Tanzania
TZS 7,000,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply