Wauzaji wa Rasta Tanzania Pamoja na wauzaji wa Lasta za kisasa kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Rasta zinazouzwa ni nzuri na zenye ubora.
Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Rasta Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Rasta mpya Tanzania.
Wauzaji wa Rasta Tanzania
Bei Ya Rasta kwa Wauzaji wa Rasta Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Rasta unazotaka kununua.