Wauzaji wa Pop corn Tanzania

Verified
TZS 500+ CALL / SMS

Wauzaji wa Pop corn Tanzania Pamoja na wauzaji wa Pop orn tamu kwa bei nafuu ya Jumla na Rejareja Tanzania tumekuandikia hapa pia Bisi Hizi Tunatengenezaga na Kuziuza kwa oda.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Pop corn Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Popcorns Tanzania.

Wauzaji wa Pop corn Tanzania

Bei Ya Pop corn kwa Wauzaji wa Pop corn Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na idadi ya Pop corn unazotaka kununua.

Jinsi Ya Kupika Pop corn

Mapishi Ya Pop corn zetu tunazipika Katika Khali ya Usafi ili Kujali Afya ya walaji wetu Pia Tumesomea Mapishi Ya Jinsi Ya Kupika Bites Mbalimbali ikiwemo na Popcorn Pia.

Wauzaji wa Pop corn Tanzania
Wauzaji wa Pop corn Tanzania
TZS 500+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

1 Comment
  1. Nipo University of Dar es salaam pia natamani kuanzisha biashara ya kuuza popcorns na tambi.

Leave a reply