Wauzaji wa Nyumba za Maeneo Mbalimbali Tanzania

Verified
TZS 8,000,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Nyumba Tanzania Pamoja na wauzaji wa Nyumba za maeneo yote ya Tanzania kwa bei nafuu tumekuandikia hapa pia Nyumba tunazo ziuza ni mali khalali zisizo na migogoro yoyote.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Nyumba Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Nyumba Tanzania.

Wauzaji wa Nyumba Tanzania

Bei Ya Nyumba kwa Wauzaji wa Nyumba Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina ya eneo Pamoja na ukubwa wa Nyumba unayotaka kununua.

Wauzaji wa Nyumba za Maeneo Mbalimbali Tanzania
Wauzaji wa Nyumba za Maeneo Mbalimbali Tanzania
TZS 8,000,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo