Wauzaji wa Nyavu Tanzania

Verified
TZS 30,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Nyavu Tanzania Pamoja na wauzaji wa Nyavu za Kuvulia samaki used na mpya kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Nyavu zinazouzwa ni imara na zenye ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Nyavu Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Nyavu za Uvuvi Tanzania.

Wauzaji wa Fishing Net Tanzania

Bei Ya Nyavu kwa Wauzaji wa Nyavu Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Nyavu za kuvua unazotaka kununua.

Wauzaji wa Nyavu Tanzania
Wauzaji wa Nyavu Tanzania
TZS 30,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo