Wauzaji wa Nissan X-Trail Tanzania

Verified
TZS 8,000,000+ CALL / SMS

Bei ya Nissan X-Trail Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Nissan X-Trail tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.

Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Nissan X-Trail na endapo nikiiona nitaiongeza.

Bei Ya Nissan X-Trail Tanzania

Bei Ya Nissan X-Trail Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.

Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Nissan X-Trail ili iweze kuendana na uhalisia wake.

Sifa za Gari La Nissan X-Trail

BrandNissan
ModelX Trail
Maximum Power137 – 280ps
Launched in TanzaniaYes
Engine Capacity1,995 – 2,488cc
Available in TanzaniaYes
Number of Seats5 – 7
ConditionUsed

Magari Ya Nissan X-Trail Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Nissan X-Trail.

Wauzaji wa Nissan X-Trail Tanzania
Wauzaji wa Nissan X-Trail Tanzania
TZS 8,000,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

2 Comments
  1. Nissan x trail nazikubali sana old model ya hizi gari.

Leave a reply

Wauzaji
Logo