Wauzaji wa Ngozi Tanzania

Verified
TZS 5,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Ngozi Tanzania Pamoja na wauzaji wa Ngozi za ng’ombe aina mbalimbali kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Ngozi zinazouzwa ni bora na kwa bei nafuu sana.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Ngozi Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Cowhide Tanzania.

Wauzaji wa Leathers Tanzania

Bei Ya Ngozi kwa Wauzaji wa Ngozi Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na Wingi wa Ngozi za ng’ombe unazotaka kununua.

Wauzaji wa Ngozi Tanzania
Wauzaji wa Ngozi Tanzania
TZS 5,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply