Wauzaji wa Ng’ombe Tanzania Pamoja na wauzaji wa Nyama wa aina mbalimbali kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Ng’ombe wanaouzwa ni wengi na yenye afya sana.
Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Ng’ombe Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Ng’ombe Tanzania.
Wauzaji wa Ng’ombe Tanzania
Bei Ya Ng’ombe kwa Wauzaji wa Ng’ombe Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Ng’ombe unaotaka kununua.
Hivi biashara ya kuwa muuzaji wa ng’ombe kwa wale wanaochinja inalipa?
Ndio biashara ya uuzaji wa ngombe inalipa ila kila biashara inachangamoto zake.
Mimi niko Arusha asante kwa wauzaji wa ng’ombe
Asante sana boss
Hata mimi nitajiunga na wauzaji wa ng’ombe
Karibu sana boss wauzaji tunakukaribisha sana
Hii biashara ya uuzaji wa ng’ombe nimeingia mara mbili nimefeli, mtaji zaidi ya milioni kumi zimeteketea na wenzangu wanasema njoo uloge kwanza hivi ni kweli?
Sio kweli na usikubali kutegemea nguvu za giza mfanye Mungu awe ndio tegemeo lako.
Kikubwa fanya kwanza utafiti wa soko pamoja na changamoto zake.