Wauzaji wa Minyoo Tanzania

Verified
TZS 5,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Minyoo Tanzania Pamoja na wauzaji wa Minyoo wa aina mbalimbali kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Minyoo wanaouzwa ni wengi na wenye ukubwa wa kutosha.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Minyoo Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Minyoo wa chakula cha mifugo Tanzania.

Wauzaji wa Minyoo Tanzania

Bei Ya Minyoo kwa Wauzaji wa Minyoo Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Minyoo unaotaka kununua.

Wauzaji wa Minyoo Tanzania
Wauzaji wa Minyoo Tanzania
TZS 5,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

1 Comment
  1. Ninaomba kujua kama minyoo ya chakula cha kuku naweza kuitunza kwa muda gani au nitakuwa nanunua kila siku?

Leave a reply