Bei ya Mazda Demio Tanzania pamoja na sifa zote za Magari Ya Mazda Demio tumeziandika hapa chini pia Magari haya ni mazuri sana na yana ubora na pia yanastahimili sana barabara zetu.
Kwenye sifa za Gari Hii nilizokuandikia ukiona mahala nimepaacha wazi basi ni kwasababu bado sijaiona hiyo sifa kwenye Magari Ya Mazda Demio na endapo nikiiona nitaiongeza.
Bei Ya Mazda Demio Tanzania
Bei Ya Mazda Demio Used inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa zaidi Kwasababu inategemea na Uzima wa gari Pamoja na Uaminifu wa Dalali wa Magari Unayemtumia.
Pia Kuna muda Taarifa hizi zinaweza zikawa na kasoro na Endapo ukiona kuna kasoro yoyote tunaomba uwasiliane na sisi ili kuweza kuiweka sawa Taarifa ya Gari Hili la Mazda Demio ili iweze kuendana na uhalisia wake.
Sifa za Gari La Mazda Demio
Brand | Mazda |
Model | Demio |
Maximum Power | 83 – 116ps |
Launched in Tanzania | Yes |
Engine Capacity | 1,298 – 1,498cc |
Available in Tanzania | Yes |
Number of Seats | 5 |
Condition | Used |
Magari Ya Mazda Demio Yapo ya New Model na Old Model ya Miaka mbalimbali ila Hapa Tumekuandikia Sifa zake za Jumla za Model zote za Mazda Demio.