Wauzaji wa Makontena Tanzania

TZS 1,000,000+ HAJAPATIKANA

Wauzaji wa Makontena Tanzania Pamoja na wauzaji wa Makontena yaliyopo Tanzania kwa bei nafuu tumekuandikia hapa pia Makontena yanayouzwa ni mali khalali zisizo na migogoro yoyote.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Makontena Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Makontena Tanzania.

Wauzaji wa Makontena Tanzania

Bei Ya Makontena kwa Wauzaji wa Makontena Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina ya Makontena Pamoja na ukubwa wa Makontena unayotaka kununua.

Wauzaji wa Makontena Tanzania
Wauzaji wa Makontena Tanzania
TZS 1,000,000+

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

4 Comments
  1. Asanteni sana Nimeipenda Hii Website ipo siku nitakuja Kuchukua namba za huyu Muuzaji wa Makontena.

  2. Tukiwa na project inayohitaji kontena tutakuja kuchukua namba zake.

Leave a reply

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general