Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania

Verified
TZS 10,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania Pamoja na wauzaji wa Kuku wa Kienyeji wa aina mbalimbali kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Kuku wa Kienyeji wanaouzwa ni wengi na yenye afya sana.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Kuku wa Kienyeji wakiwemo kuchi kwa Tanzania.

Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania

Bei Ya Kuku wa Kienyeji kwa Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Kuku wa Kienyeji unaotaka kununua.

Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania
Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania
TZS 10,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

2 Comments
  1. Nawapenda Kwasababu kula nyama ya Kuku wa kienyeji kuna faida sana.

Leave a reply

Wauzaji
Logo