
Wauzaji wa Hotel Tanzania Pamoja na wauzaji wa Hotel za maeneo yote ya Tanzania kwa bei nafuu tumekuandikia hapa pia Hotel tunazo ziuza ni mali khalali zisizo na migogoro yoyote.
Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Hotel Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Mahoteli Tanzania.
Wauzaji wa Hotel Tanzania
Bei Ya Hotel kwa Wauzaji wa Hotel Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina ya eneo Pamoja na ukubwa wa Hotel unayotaka kununua.