Wauzaji wa Hamburger Tanzania

Verified
TZS 5,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Hamburger Tanzania Pamoja na wauzaji wa Hamburger tamu kwa bei nafuu ya Jumla na Rejareja Tanzania tumekuandikia hapa pia Hamburger Hizi Tunatengenezaga na Kuziuza kwa oda.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Hamburger Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Hamburger Tanzania.

Wauzaji wa Hamburger Tanzania

Bei Ya Humburger kwa Wauzaji wa Hamburger Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na idadi ya Hamburger unazotaka kununua.

Jinsi Ya Kupika Hamburger

Mapishi Ya Hamburger zetu tunazipika Katika Khali ya Usafi ili Kujali Afya ya walaji wetu Pia Tumesomea Mapishi Ya Jinsi Ya Kupika vyakula Mbalimbali ikiwemo na Hamburger Pia.

Wauzaji wa Hamburger Tanzania
Wauzaji wa Hamburger Tanzania
TZS 5,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply