Wauzaji wa Half cake Tanzania

Verified
TZS 500+ CALL / SMS

Wauzaji wa Half cake Tanzania Pamoja na wauzaji wa Half cake tamu kwa bei nafuu ya Jumla na Rejareja Tanzania tumekuandikia hapa pia Half cake Hizi Tunatengenezaga na Kuziuza kwa oda.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Half cake Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Half cake Tanzania.

Wauzaji wa Half cake Tanzania

Bei Ya Half cake kwa Wauzaji wa Half cake Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina idadi ya Half cake unazotaka kununua.

Jinsi Ya Kupika Half cake

Mapishi Ya Half cake zetu tunazipika Katika Khali ya Usafi ili Kujali Afya ya walaji wetu Pia Tumesomea Mapishi Ya Jinsi Ya Kupika Bites Mbalimbali ikiwemo na Half cake Pia.

Wauzaji wa Half cake Tanzania
Wauzaji wa Half cake Tanzania
TZS 500+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply