Wauzaji wa Donati Tanzania

Verified
TZS 50+ CALL / SMS

Wauzaji wa Donati Tanzania Pamoja na wauzaji wa Doughnut tamu kwa bei nafuu ya Jumla na Rejareja Tanzania tumekuandikia hapa pia Donati Hizi Tunatengenezaga na Kuziuza kwa oda.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Donati Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Doughnut Tanzania.

Wauzaji wa Donati Tanzania

Bei Ya Donati kwa Wauzaji wa Donati Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na idadi ya Donati unazotaka kununua.

Jinsi Ya Kupika Donati

Mapishi Ya Donati zetu tunazipika Katika Khali ya Usafi ili Kujali Afya ya walaji wetu Pia Tumesomea Mapishi Ya Jinsi Ya Kupika Bites Mbalimbali ikiwemo na Donati Pia.

Wauzaji wa Donati Tanzania
Wauzaji wa Donati Tanzania
TZS 50+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo