Wauzaji wa Dawa Ya UTI Sugu Tanzania

Verified
TZS 30,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Dawa Ya UTI Sugu Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa Ya UTI Sugu za Asili Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa Ya UTI Sugu inayouzwa ni original na ina ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Dawa Ya UTI Sugu Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Dawa Ya UTI Sugu Tanzania.

Wauzaji wa Dawa Ya UTI Sugu Tanzania

Bei Ya Dawa Ya UTI Sugu kwa Wauzaji wa Dawa Ya UTI Sugu Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Dozi za Dawa Ya UTI Sugu unazotaka kununua.

Sababu za Ugonjwa wa UTI Sugu

 1. Kinga ya mwili kuto kuwa imara
 2. Kutumia Vifaa au Dawa za kuzuia mimba
 3. Kwa wanawake Kupungua kwa homoni ya estrogeni
 4. Mtu mwenye kisukari
 5. Kutumia choo kichafu na kutumia idadi kubwa ya watu
 6. Kuwa na tatizo la mmeng’enyo na tatizo la choo
 7. Kukaa kwa mda mrefu bila kutembea tembea

Dalili za Ugonjwa wa UTI Sugu

 1. Kujihisi mchovu na kutokujisikia vizuri
 2. Kukojoa kwa shida na kujilazimisha
 3. Maumivu wakati wa kukojoa
 4. Kukojoa kiasi kidogo na mara kwa mara
 5. Mkojo kutoa harufu kali
 6. Mkojo kuwa na rangi tofauti zisizo za kawaida kwa mfano wekundu kiasi
 7. Kichefuchefu au kutapika
 8. Maumivu ya tumbo, au pande za mwili karibu na tumbo mpaka sehemu za misuli

Jinsi Ya Kujikinga na UTI Sugu

 1. Kunywa maji mengi
 2. Acha kutumia dawa za uzazi wa mpango
 3. Kula vizuri vyakula bora hasa asilia
 4. Kojoa hata kidogo baada ya kujamiiana
 5. Punguza au acha kunywa pombe na kutumia sigara huchochea kuathiri kibofu
 6. Kuwa msafi hasa sehemu za siri ili kutoruhusu bakteria
 7. Usipulizie spray kwenye sehemu za siri
Wauzaji wa Dawa Ya UTI Sugu Tanzania
Wauzaji wa Dawa Ya UTI Sugu Tanzania
TZS 30,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo