Wauzaji wa Dawa Ya Ugumba Tanzania

TZS 30,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Dawa Ya Ugumba Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa Ya Ugumba za Asili Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa Ya Ugumba inayouzwa ni original na ina ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Dawa Ya Ugumba Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Dawa Ya Ugumba Tanzania.

Wauzaji wa Dawa Ya Ugumba Tanzania

Bei Ya Dawa Ya Ugumba kwa Wauzaji wa Dawa Ya Ugumba Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Dozi za Dawa Ya Ugumba unazotaka kununua.

Sababu za Ugumba Kwa Mwanamke

 1. Matatizo katika uterus na shingo ya kizazi kama uvimbe na birth defects
 2. Matatizo katika mfumo wa kuganda wa damu
 3. Mazoezi kupita kiasi, afya iliyodhoofika na matatizo ya kula
 4. Baadhi ya madawa au sumu
 5. Msongo wa mawazo
 6. Tatizo la kukosekana kwa usawa wa mfumo wa vichocheo mwilini
 7. Uzito uliopitiliza
 8. Unywaji pombe kupindukia
 9. Magonjwa ya muda mrefu kama kisukari
 10. Magonjwa ya kina mama
 11. Magonjwa ya zinaa
 12. Saratani
 13. Uvutaji sigara, madawa ya kulevya kama kokeni, bangi, hashishi nk.
 14. Kuwepo kwa cervical antigens ambazo huua shahawa za mwanamume na hivyo kusababisha kwa mwanamke kutopata ujauzito.

Sababu za Ugumba Kwa Mwanaume

 1. Mazingira yaliyo na kemikali zinazoathiri uwezo wa mwanaume kumbebesha mimba mwanamke
 2. Kukaa sehemu zenye joto kali sana kwa muda mrefu
 3. Matatizo kwenye mfumo wa viashiria vya asili
 4. Unywaji pombe kupindukia, matumizi ya madawa ya kulevya kama kokeni, bangi, hupunguza idadi na kiwango cha shahawa
 5. Kuzeeka
 6. Kutumia dawa za vichocheo vya mwilini ama kukosekana kwa baadhi ya vichocheo mwilini
 7. Magonjwa ya korodani
 8. Historia ya matumizi ya baadhi ya dawa za saratani
 9. Magonjwa ya zinaa
 10. Historia ya mionzi
 11. Msongo wa mawazo

Jinsi Ya Kujikinga na Ugumba

 1. Kupunguza kunywa pombe kupindukia, kuvuta sigara, kuacha matumizi ya bangi, kokeni nk.
 2. Kupunguza kiwango cha mazoezi kwa wanawake.
 3. Kupunguza unene uliopitiliza.
 4. Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu kwani kuwa na wapenzi wengi huongeza athari ya kupata magonjwa ya zinaa.
 5. Kuacha tabia ya kuvaa nguo nzito au zenye kuleta joto kali sehemu za siri kwa wanaume kwani joto kali sana hupunguza kiwango na kuathiri utolewaji wa shahawa.
 6. Kula mlo kamili na wenye virutubisho vyote muhimu kwa afya njema.
Wauzaji wa Dawa Ya Ugumba Tanzania
Wauzaji wa Dawa Ya Ugumba Tanzania
TZS 30,000+

Tuandikie Email Yako Uweze Kupata Post za Wauzaji wa Tanzania Kwa Haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo
Enable registration in settings - general