Wauzaji wa Dawa Ya Ngiri Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa Ya Ngiri za Asili Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa Ya Ngiri inayouzwa ni original na ina ubora.
Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Dawa Ya Ngiri Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Dawa Ya Ngiri Tanzania.
Wauzaji wa Dawa Ya Ngiri Tanzania
Bei Ya Dawa Ya Ngiri kwa Wauzaji wa Dawa Ya Ngiri Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Dozi za Dawa Ya Ngiri unazotaka kununua.
Sababu za Ugonjwa wa Ngiri
- Uzito kupita kiasi
- Tumbo kujaa maji
- Kujisaidia choo kigumu
- Kunyanyua vitu vizito
- Ujauzito
- Kikohozi sugu (Chronic Obstructive Pulmonary Disorder)
- Kuumia kutokana na majeraha ya kawaida ama upasuaji
- Umri Mkubwa
- Uvutaji sigara
- Kurithi
Dalili za Ugonjwa wa Ngiri
- Tumbo kuunguruma
- Kiuno kuuma
- Kupata choo kama cha mbuzi
- Kushindwa kufanya tendo la ndoa
- Mishipa ya uume kulegea
- Kutokuwa na hamu ya kurudia tendo la ndoa
- Korondani moja kuvimba
- Mgongo kuuma.