Wauzaji wa Dawa Ya Chango la Uzazi Tanzania

Verified
TZS 30,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Dawa Ya Chango la Uzazi Tanzania Pamoja na wauzaji wa Dawa Ya Chango la Uzazi za Asili Tanzania tumekuandikia hapa pia Dawa Ya Chango la Uzazi inayouzwa ni original na ina ubora.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Dawa Ya Chango la Uzazi Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Dawa za Chango la Uzazi Tanzania.

Wauzaji wa Dawa Ya Chango la Uzazi Tanzania

Bei Ya Dawa Ya Chango la Uzazi kwa Wauzaji wa Dawa Ya Chango la Uzazi Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Dozi za Dawa Ya Chango la Uzazi unazotaka kununua.

Sababu za Ugonjwa wa Chango la Uzazi

  1. Uzito kupita kiasi
  2. Tumbo kujaa maji
  3. Kujisaidia choo kigumu
  4. Kunyanyua vitu vizito
  5. Ujauzito
  6. Kikohozi sugu (Chronic Obstructive Pulmonary Disorder)
  7. Kuumia kutokana na majeraha ya kawaida ama upasuaji
  8. Umri Mkubwa
  9. Uvutaji sigara
  10. Kurithi

Dalili za Ugonjwa wa Chango la Uzazi

  1. Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake
  2. Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
  3. Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
  4. Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake
  5. Kupatwa hasira anapokaribia kuingia katika siku zake
  6. Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi
  7. Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke
  8. Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
  9. Kupata uvimbe kwenye kizazi
  10. Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
  11. Maumivu makali chini ya kitovu
  12. Mimba kuporomoka au kutoshika mimba kabisa

Madhara Ya Chango la Uzazi

  1. Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
  2. Mwanamke anaweza kuwa tasa kabisa
  3. Kuingia na kutoka kwa mimba
  4. Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
  5. Kuwa na uke mdogo sana
  6. Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa
  7. Kupata uvimbe kwenye kizazi
  8. Kuvurugika kwa mfumo mzunguzo wa hedhi
Wauzaji wa Dawa Ya Chango la Uzazi Tanzania
Wauzaji wa Dawa Ya Chango la Uzazi Tanzania
TZS 30,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo