Wauzaji wa Chapati Tanzania

Verified
TZS 250+ CALL / SMS

Wauzaji wa Chapati Tanzania Pamoja na wauzaji wa Chapati tamu kwa bei nafuu ya Jumla na Rejareja Tanzania tumekuandikia hapa pia Chapati Hizi Tunatengenezaga na Kuziuza kwa oda.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Chapati Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Chapati Tanzania.

Wauzaji wa Chapati Tanzania

Bei Ya Chapati kwa Wauzaji wa Chapati Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na idadi ya Chapati unazotaka kununua.

Jinsi Ya Kupika Chapati

Mapishi Ya Chapati zetu tunazipika Katika Khali ya Usafi ili Kujali Afya ya walaji wetu Pia Tumesomea Mapishi Ya Jinsi Ya Kupika Bites Mbalimbali ikiwemo na Chapati Pia.

Wauzaji wa Chapati Tanzania
Wauzaji wa Chapati Tanzania
TZS 250+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo