Wauzaji wa Boat Tanzania

Verified
TZS 1,000,000+ CALL / SMS

Wauzaji wa Boat Tanzania Pamoja na wauzaji wa Mashine na Engine za Boat used na mpya kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Boat zinazouzwa ni imara na zenye ubora.

Wauzaji wa boat pia na vifaa na machine za boti zikiwemo injini za boat za ukubwa mbalimbali.

Na pia kwenye namba za simu za muuzaji wa Boat Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya wauzaji wa Boti za Uvuvi Tanzania.

Wauzaji wa Boat Tanzania

Bei Ya Boat kwa Wauzaji wa Boat Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Boat unazotaka kununua.

Wauzaji wa Boat Tanzania
Wauzaji wa Boat Tanzania
TZS 1,000,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

2 Comments
  1. Hallow wauzaji, napenda kufahamu gharama za boti za uvuvi.

Leave a reply

Wauzaji
Logo