Wapishi wa Catering pia Tunatoa huduma ya Catering Tanzania Pia catering services zetu ni zenye ubora na zinazingatia na kufauata vigezo vya afya kwenye mapishi na uandaaji.
Pia tunao wapishi wa kwenye sherehe za aina mbalimbali walio bobea kwenye fani ya upishi na uandaaji wa vyakula kwa usafi.
Wapishi wa Catering Tanzania
Kama unahitaji catering au unahitaji ushauri wowote kutoka kwa sisi Tanzania catering muda wowote tupo kwa ajili yako Tunakukaribisha sana.
Bei ya huduma ya catering kwa watoaji wa huduma za catering Tanzania inategemea na wingi wa wageni pamoja na aina ya vyakula unavyohitaji