Watengenezaji wa Furniture Tanzania

Verified
TZS 30,000+ CALL / SMS

Mafundi wa Furniture Tanzania Pamoja na Watengenezaji wa Fenicha za Aina zote kwa bei nafuu Tanzania tumekuandikia hapa pia Furniture tunazo zitengeneza ni nyingi.

Na pia kwenye namba za simu za mtengenezaji wa Furniture Tanzania nilizokuandikia ukiona mahala kakukwaza naomba unijulishe ili nimtoe kwenye list ya Mafundi wa Kutengeneza Furniture za ndani Tanzania.

Mfano wa furnitures tunazo zitengeneza na kuziuza ni meza, sofa, viti, stuli, milango, madirisha pamoja na aina nyingine za fenicha za majumbani na ofisini.

Mafundi wa Fenicha Tanzania

Bei Ya Kutengenezewa Furniture kwa Watengenezaji wa Furniture Tanzania inaweza Kuwa Ndogo zaidi au kubwa Zaidi Kwasababu inategemea na aina Pamoja na idadi ya Furniture unazotaka kutengeneza.

Watengenezaji wa Furniture Tanzania
Watengenezaji wa Furniture Tanzania
TZS 30,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo