Wapikaji wa Vyakula Tanzania pia Tunatoa huduma ya Wapikaji wenye ubora Tanzania na ambao wanazingatia vigezo vya afya kwenye upishi na uandaaji.
Pia tunao Wapikaji wa sherehe za aina mbalimbali walio bobea kwenye fani ya upishi na uandaaji wa vyakula kwa usafi.
Wapikaji wa Vyakula Tanzania
Kama unahitaji Vyakula au unahitaji ushauri wowote kutoka kwa sisi muda wowote tupo kwa ajili yako Tunakukaribisha sana.
Bei ya Wapikaji wa Vyakula kwa Wapikaji wa Vyakula Tanzania inategemea na wingi wa wageni pamoja na aina ya vyakula unavyohitaji
Asante sana kuna siku mlinifanyia catering hapa mbezi mwisho nilipenda sana huduma zenu za catering.
Asante sana kwa kuleta mrejesho saidi.