Wapambaji wa Kumbi za Sherehe Tanzania pia Tunatoa huduma ya Upambaji unaozingatia na kufauata vigezo vya rangi na mazingira.
Pia tunao wapambaji wa kumbi za Sherehe za aina mbalimbali walio bobea katika fani ya upambaji na upendezeshaji wa mazingira.
Wapambaji wa Kumbi za Sherehe Tanzania
Kama unahitaji huduma ya upambaji au unahitaji ushauri wowote kuhusu Kumbi za Sherehe muda wowote tupo kwa ajili yako Tunakukaribisha sana.
Bei ya Upambaji inategemea na ukubwa wa kazi yako ya Upambaji pamoja na aina ya Ukumbi wa Sherehe unaopambwa.
Asanteni sana wapambaji wenu waliupendezesha sana ukumbi wangu.
Asante sana Jabir kwa comment yako na mimi nimefurahi kusikia hivyo.