Wakodishaji wa Viti Tanzania

Verified
TZS 500+ CALL / SMS

Wakodishaji wa Viti Tanzania pia Tunatoa huduma ya Kukodisha Viti Tanzania pia Viti vyetu vya kukodisha ni vyenye ubora na vipo vya saizi mbalimbali.

Tunakodisha Viti na pia sisi ni Watoaji wa huduma za Viti Kwanzia kwenye sherehe ndogo mpaka mikutano mikubwa inayofanyika hapa Tanzania.

Wakodishaji wa Viti Tanzania

Kama unahitaji Kukodi Viti au unahitaji ushauri wowote kutoka kwetu Kuhusiana na Viti muda wowote tupo kwa ajili yako Tunakukaribisha sana.

Bei ya Viti vya kukodisha kwa sisi wakodishaji inategemea na ukubwa wa Sherehe na siku ambazo Viti vitakaa kwako.

Wakodishaji wa Viti Tanzania
Wakodishaji wa Viti Tanzania
TZS 500+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo