Wakodishaji wa Maturubai Tanzania

Verified
TZS 50,000+ CALL / SMS

Wakodishaji wa Maturubai Tanzania pia Tunatoa huduma ya Kukodisha Maturubai Tanzania pia Maturubai yetu ya kukodisha ni yenye ubora na yapo ya saizi mbalimbali.

Tunakodisha Maturubai na pia sisi ni Watoaji wa huduma za Maturubai Kwanzia kwenye sherehe ndogo mpaka mikutano mikubwa inayofanyika hapa Tanzania.

Wakodishaji wa Maturubai Tanzania

Kama unahitaji Kukodi Maturubai au unahitaji ushauri wowote kutoka kwetu Kuhusiana na Maturubai muda wowote tupo kwa ajili yako Tunakukaribisha sana.

Bei ya Maturubai ya kukodisha kutoka kwa sisi wakodishaji inategemea na ukubwa wa Sherehe na siku ambazo Maturubai yatakaa kwako.

Wakodishaji wa Maturubai Tanzania
Wakodishaji wa Maturubai Tanzania
TZS 50,000+
Subscription Form

Tuandikie email yako uweze kupata post za mtandao wa wauzaji kwa haraka.

Tuandikie Mawazo Yako

Leave a reply

Wauzaji
Logo