Wauzaji Suppliers

Boss umefika mpaka hapa? Kweli umevutiwa na huu mtandao, lakini hapa ulipoingia bado sijapatengeneza ila soma mpaka mwisho.

Mungu akisaidia siku za mbeleni sisi wauzaji tutakuwa waombaji wakubwa wa tenda za usambazaji na kuexport bidhaa za Tanzania.

Hivi Unajua Ushindani ni Mkubwa?

Ni kweli ushindani ni mkubwa sana lakini hakuna haja ya kuweka mawazo ya kushindwa kikubwa ni tutajitahidi kujitofautisha na washindani.

Utapambana vipi na Changamoto?

Sisi ni watu wa kushukuru sana kwahiyo mtu yoyote yule atakayehusika kwenye kufanya mchongo utiki hata kama mchongo ni mdogo sisi hatutomwacha bila kumwambia neno ASANTE.

Kwahiyo Tenda Mtazitoa Wapi?

Sehemu ambazo tutakuwa tunaomba tenda ni;

  • Makampuni makubwa na madogo
  • Mashirika binafsi na ya serikali
  • Taasisi binafsi na za umma
  • Serikalini na kwa watu binafsi

Kwani Mtakuwa Mnaomba Tenda Gani?

Tenda tutakazokuwa tunaziomba ni zinazohusiana na usambazaji wa bidhaa zikiwemo;

  • Bidhaa za maofisini na stationary
  • Bidhaa za viwandani na migodini
  • Bidhaa za Agricultures
  • Bidhaa za ufundi na teknolojia
  • Bidhaa za ujenzi na hardware
  • Bidhaa za hospitalini na maabara

Mawasiliano Yangu

Kama unataka kuwasiliana na mimi nakuomba unitumie email.

Email Yangu Binafsi [email protected]

Wauzaji
Logo